mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,904
- 8,371
Wapendwa nauliza ni vijiji gani au wilaya ipi mkoani Mbeya wanalima kwa wingi Soy bean,ambayo hutengenezea lishe ya wanadamu na mifugo,ambayo pia ndugu zetu Wasabato hutumia kama mbadala wa majani ya chai.Pia nauliza katika Mkoa wa Iringa ni vijiji vipi/wilaya gani hulima mahindi kwa wingi,hasa ningependa kule wanakotumia materekta ya kulimia na kupandia kwa kiasi kikubwa