Soya, mbaazi, mahindi, ni mazao yanayotupa umaskini sababu ikiwa ni serikali.

pole sana mkuu.
hapo ndipo watu wa serikali wanapaswa kuonyesha maana ya uwepo wao ktk kuwezesha uhakika wa mzunguko wabiashara unaomsaidia mkulima.
Mkuu unaongea haya ukiwa nchi gani??
Bei ya mbaazi na mazao yote yaliyokuwa yapo kwenye chat(kunde,dengu,choroko,njugu) enzi za JMK yamepigwa pin huko bara Asia

Kiufupi tu, haya ni mazao yaliyokuwa yakimkomboa mkulima kwa kiasi kikubwa sana, kiukweli kabisa tena kwa dhati ya moyo wangu, huyu mshika rungu kazingua.

Viwanda vimemshinda, wakulima anatutibua na mabepari anawaingilia kwa kukurupuka!!!

Mwambieni atulie, make kama yeye ni kichwa, utumbo ndiyo wa ku generate mawasiliano pote!!!

Kwa muda huu wakulima hatuelewi kama tunaweza ku sustain njaa kama msimu uliopita.
 
Reactions: etb
mkuu usilie tu hebu toa mapendekezo
Mapendekezo yapi mkuu wakati serikali yako inayojiita ya wanyonge inatunyonga.
Unazuia watu kuuza mazao nje ya nchi wakati huna uwezo wa kununua , hivi hawa viongozi wetu wanatumia nini kuwaza...!!??
Inatia hasira mno, mijitu mingine inafaa ifungwe jiwe na kutupwa mtoni ikaliwe na mamba na si kuwa viongozi .
Mungu awalaani wote mnaotesa wenzenu ilihali ninyi mnaishi vizuri.
 
Sasa watu waambiwa wakalime then soko hamna .Kuna mambo mengine unaweza kuitwa mchochezo.
 
Ahahahahaah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…