SpaceX Launches its first Human crew to Space

SpaceX Launches its first Human crew to Space

Hatimaye marubani wa marekani wapo angani wanaelekea spacestation kwa chombo cha marekani kwa mara ya kwanza tangu 2011.
 
Chombo kina kasi vibaya!
Kinaingia anga za juu ndani ya dakika nane baada ya kurushwa. Muda huu kinapiga doria anga za juu kwa masaa 20 kabla kuungana na space station. Tofauti na vyombo vyengine roketi iliyorusha chombo falcon angani imepokelewa kwenye meli na itatumika tena.
 
Dah!...hawa jamaa wapo vizuri sana kusema kweli.
 
Nilikuwa nafuatiliano hii do!, kitu innatembea vibaya sana na nimeona kitu kimoja kuwa waliohusika siyo serikali ya marekani moja kwa moja ila ni watu binafsi raia wa marekani ambao wameshirikiana na NASA.

Kwa takribani miaka 9 walikuwa wanatumia vyombo vya Russia so kwa sasa wanaona neema kwao kupeleka raia huko anga za mbali na wameenda na mimea ili kujaribu kupanda.

👏 kwao.
 
Back
Top Bottom