Spain ft drw weka mzogo

Nishatia mzigo first half draw ila umasikini unakera na kuchekesha sana betpawa nina 1.66Tsh na ndiyo nimebetia.
 
Nishatia mzigo first half draw ila umasikini unakera na kuchekesha sana betpawa nina 1.66Tsh na ndiyo nimebetia.
Hahioompwaaaaaa hapo nasubiria sadaka 10perc
 
Leo wandengereko wa ulaya wanaingia uwanjani....hawa jamaa wanaweza fika final bili kufunga goli in open play
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…