Spain kuitambua Palestine kama taifa kamili

asichojua spain ni kwamba, hata akitambua kuwa ni taifa, lakini mmiliki wake ni israel, israel ndio anatawala hadi westbank, anaweza kuingia na kufanya chochote na kukamata yeyote, na ramani zote zipo kwenye database hadi raia. wanajulikana ni akina nani na wanaishi wapi. aliyetakiwa kuifanya palestina taifa ni israel, sio mtu mwingine.
 
Hivi kumbe palestina kutambuliwa na taifa la kikafiri Nako ni kupiga hatua?

1. Kama vIgogo wametambua sembuse kinyangarika wewe na bado hujishangai?

Mbowe, Lissu wafundeni wafuasi Falsafa ya Chama

2. Watu kama nyie Bila kusomeshwa falsafa za vyama mtajua mnasimamia nini?

3. Kama hujui mnasimamia nini, tofauti yako na ling'ombe itakuwa ipi?

4. Siyo siri, ninyi ni wA kuhurumia ..
 

1. Kwamba zaidi ya mataifa 140+ yanaitambua Palestina kama nchi isipokuwa wewe na bado hujishangai?

Countries that Recognize Palestine 2024

2. Si ujipige kifuani japo mara tatu ujisifie kwa ubumunda wako?
 

Huo uarabu unaonivesha unauokota wapi ewe chawa?

Makundi saba ya chawa kindaki ndaki yanayotatiza mabadiliko
 
1. Kwamba zaidi ya mataifa 140+ yanaitambua Palestina kama nchi isipokuwa wewe na bado hujishangai?

Countries that Recognize Palestine 2024

2. Si ujipige kifuani japo mara tatu ujisifie kwa ubumunda wako?
hayatambui palestina kama nchi, wanatambua kama mamlaka (authority) yaani kabila ya watu ambao wanatawala bila kuwa na nchi. ukitaka kwenye westbank sasahivi unaomba visa Israel. Israel wanao uwezo kukuamuru hata wewe sasaivi uingie maeneo ya wapalestina au usiingie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…