doup JF-Expert Member Joined Feb 26, 2009 Posts 2,706 Reaction score 2,861 Oct 26, 2024 #1 Angalia Spana hizi kutoka team Trump aka MAGA, kwenda Kwa mpinzani wake ambaye ni Makamu wa Rais Kwa Sasa katika Uongozi(sio utawala maana huu upo Shit countries tu). Ingekuwa bongo angetakiwa kureport kila baada ya dakika 45 central.
Angalia Spana hizi kutoka team Trump aka MAGA, kwenda Kwa mpinzani wake ambaye ni Makamu wa Rais Kwa Sasa katika Uongozi(sio utawala maana huu upo Shit countries tu). Ingekuwa bongo angetakiwa kureport kila baada ya dakika 45 central.