April 6, 2020
Madrid, Spain
SPAIN KUWAPIGA KARANTINI WAFANYAKAZI WA AFYA WASISAMBAZE GONJWA
Serikali ya Hispania katika kutafuta muarubaini wa kumaliza kabisa tishio la SARS-2Covid - 19 inafikiria kuwapima wafanyakazi wote wa sekta ya afya waliohusika au kuhusika kuwahudumia wagonjwa wa corona.
Mkakati huu unafikiriwa baada ya kubainika kuwa kuna watoa huduma za afya wasioonyesha dalili za kuumwa corona huku wana virusi vya corona na bila kujua wanaendelea kuwaambukiza wagonjwa mahospitalini, majumbani mwao na ktk jamii inayokutana nao.
Hivyo kuhakikisha gonjwa hili linatokomezwa watoa huduma za afya nchini Hispania walio mstari wa mbele kutoa huduma pia watatakiwa kupimwa vipimo vya corona.
Wafanyakazi hao ni madaktari, mabesi, watu wa ambulance, polisi, uhamiaji, watu wa maabara n.k Na wakigundulika kuwa na virusi basi watawekwa ktk kambi maalum mpaka virusi hivyo vipotee mwilini mwao.
Serikali ya China ilitumia mkakati huo na kupata mafanikio makubwa kusitisha kusambaa kwa maambukizi ya corona toka vyanzo vyote, yaani nje ya hospitali na ndani ya sekta ya afya kwenda nje ktk jamii .
Spanish government preparing centers to isolate asymptomatic Covid-19 patients
The Spanish government is planning to focus on the carriers of the coronavirus who do not have symptoms and who are working in essential services. Healthcare employees, workers in senior residences, police, delivery workers, staff from the food supply chain… They all form part of a flow of silent transmission of the coronavirus that the government wants to halt so that there are no new outbreaks once the social distancing measures are lifted.
To achieve this, there are two approaches being prepared. Firstly, mass testing of the population in order to locate all of these cases. Secondly, preparing infrastructure so that they can be isolated and that they don’t infect people close to them. The Spanish prime minister, Pedro Sánchez, on Sunday called on the premiers of Spain’s regions to send a list of public and private infrastructure that can be used to house those infected with the SARS-CoV-2 coronavirus but do not require hospitalization.
The plan would be similar to the so-called Noah’s Ark hospitals, which China successfully used to isolate mild Covid-19 cases and halt the spread of the virus. As María José Sierra from the Health Ministry’s Coordination Center for Health Alerts explained, preparing this infrastructure is one of the measures included in the next phase of the crisis, in which early detection of all cases with early symptoms must involve isolation.
The possibility of obligatory hospitalization already exists in Spanish law, as long as it is approved by a judge. It has been used on dozens of occasions in the last 20 years to hospitalize patients with a kind of tuberculosis that is resistant to treatment. The 1986 Special Measures in Public Health law allows for the authorities to adopt hospitalization measures when there is a “danger to the health of the population.”
source : READ MORE : El Gobierno quiere hacer test a todos los sectores esenciales para buscar contagiadores asintomáticos