Kulingana na mahitaji ya soko la ajira, tumeona ni muhimu kujiongezea lugha moja ya kimataifa. wahitaji tuko tayari lakini hatujafanikiwa kupata mwalimu.
Tunahitaji mwalimu wa kufundisha spanish language. kazi itaanza first au second week of October 2008.
We need to learn Speaking, Reading and Writing.
contact njonjo86 ati hotimaili doti comu