Spare for Gaia Engine

MwanaIFM

Member
Joined
Nov 20, 2010
Posts
42
Reaction score
27
Hellow wanaJF

Wandugu jamani ninaombeni msaada wenu najua hapa kuna watu wa kila aina,mafundi,engineers, doctors etc. Kwa mtu yoyote atakayekua anahitaji Vifaa kwa engine aina ya 1AZ ambayo mara nyingi ipo kwenye Toyota Harrier na baadhi ya Rav 4 zile new model (I think a.k.a yake ni Killi time) ila mimi nilinunua Toyota Gaia nikaikuta humo ndani sasa inapiga mafuta vibaya nikaamua kubadilisha nimeweka engine ya 3s ambayo ni ya Rav4 ya kawaida. Sasa vifaa vyote vinavyoenda na hiyo engine naviuza.

Swala la bei ambapo naongelea gear box(2 wheels),control box,coils,cylinder yenyewe,water pump hivyo kwa jumla nahitaji 2 million. Ila hata kimopja kimoja pia naweza kuuza kutegemeana na offer ya mteja na pia ili niweze kukabiliana na maisha ya ujasiriamali na chuo. Shukurani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…