Spare parts za powertillar aina ya KUBOTA

Spare parts za powertillar aina ya KUBOTA

mkadiriaji majenzi

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2023
Posts
260
Reaction score
569
Habari wakuu.

Kama kichwa kinavojieleza sisi wakulima msimu unakaribia ni muda wa kuandaa mashamba sasa kuna spare za powertillar nimezitafuta bila mafanikio anayejua supplier wa spare za Powertillar aina ya KUBOTA anisaidie.
 
Kumbe jamaa wanawauzia tu bila kuwaambia spare mnazipata wapi? Kwa wingi wa hayo madude, ni fursa kabisa ya kuuza zana zake.
 
Back
Top Bottom