Forbes1990
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 513
- 991
Ok mkuu asante Sana.. Na unaweza nitajia ni vipuli gani kwa hizo brands vinahitajika sanaNissan,
Subaru,
Mazda,
Benz,
Ford
Asante Sana mkuu , kwa hiyo tahadhari..Kwauzoefu wangu south ukitaka kuagiza ni lazima ufanye oda maalumu maana wakikuleta spare zinakuwaga na utafauti kidogo na gari zilizotoka ulaya na japani, hii imeshawahi kututokea kwenye ford ranger na Scania na land rover
Nadhan unatakiwa umielezee vizuri ili aelewe unaposema oda maalumu na kuletewa vifaa ambavyo vinautofauti, unamaanisha nn mkuu? Kwamba anatakiwa afanyeje wakati anaweka oda yake?Kwauzoefu wangu south ukitaka kuagiza ni lazima ufanye oda maalumu maana wakikuleta spare zinakuwaga na utafauti kidogo na gari zilizotoka ulaya na japani, hii imeshawahi kututokea kwenye ford ranger na Scania na land rover