Spartakas karudi mjengoni salamu kwa Lusungo

Hahahah kuna nchi haina vumbi? Hahahah unaijua dunia vizuri? Hahahah mchana watu hawalali??? Hahaha poyeeee hahahahah
You are loser hahahah

Kama wewe nchi uliyowahi kufika ni Zanzibar tu ni lazima uamini nchi zote zina vumbi sikujuwa kama nadebate na mbumbumbu wa kutupwa.

Wewe kwa sababu ni kula kulala sikatai unaweza kulala mchana ila kwa mtu mwenye majukumu yake hawezi kulala mchana.

Nashukuru umenisaidia kukuelewa wewe ni kiwango kipi uko too low si wa level yangu.

Alamsiki.
 
We mwenye kazi na ulie mchana wa jua kali huko mbona unatangatanga hapa kama nyoka aliyepondwa kichwa?? Wenye kazi zao wanapoteza mda na wasio na kazi?? Hahahaaaa

Kwahiyo mjuaji hiyo nchi uliyopo yote imesakafiwa?

Mimi nawewe nani kapoteza direction hapa???

Alamsiki mtakie jirani yako mi hainisaidii chochote siku nyingine usidandie wimbo wa kujifunza kwani haukeshi ngomani.....
 
Mtoa mada kasepa naona mziki umepata wachezaji

Mkuu hii thread nilianza kwa kuchangia post moja tu nikisema uhuru wa mawazo uheshimiwe basi.

Hapo ndipo nikaona mtu na wowowo lake anajifanya anajuwa sana ndipo nilipoamuwa kumuonesha mimi ni mtambo wa kurekebisha tabia na sasa analialia eti thread ifungwe.
 
We mwenye kazi na ulie mchana wa jua kali huko mbona unatangatanga hapa kama nyoka aliyepondwa kichwa?? Wenye kazi zao wanapoteza mda na wasio na kazi?? Hahahaaaa

Kwahiyo mjuaji hiyo nchi uliyopo yote imesakafiwa?

Mimi nawewe nani kapoteza direction hapa???

Alamsiki mtakie jirani yako mi hainisaidii chochote siku nyingine usidandie wimbo wa kujifunza kwani haukeshi ngomani.....

Kwisha habari yako umebaki kuimba taarabu tu hapa huna lolote kula kulala wewe kodi ya nyumba shikamoo.
 
Hahahahaaa ndo nafuu ya maisha hiyooo hahahah huna jipya mkaanga sumu kalaleee
 
Mkuu hii thread nilianza kwa kuchangia post moja tu nikisema uhuru wa mawazo uheshimiwe basi.

Hapo ndipo nikaona mtu na wowowo lake anajifanya anajuwa sana ndipo nilipoamuwa kumuonesha mimi ni mtambo wa kurekebisha tabia na sasa analialia eti thread ifungwe.

Nimetaka thread ifungwe kwakua nakuonea huruma kwa kupoteza direction unirekebishe tabia kwa kipi ulichoandika?

Hahah unachekesha ujue???

ID nyiingi kama miguu ya jongoo lakini hazina faida......

Pole sana......
 
Unafurahia kuwa kkb? kodi ya nyumba shikamoo?
ooh boy!!

Mi wala sikufurahii nakucheka kwa dharau tuuu.....

Unahangaika na furushi la ID kibaao kama mtoto....

Ungekua mtafutaji usingeacha furushi la ID nyingi likuelemee namna hiyo...
 
Nimetaka thread ifungwe kwakua nakuonea huruma kwa kupoteza direction unirekebishe tabia kwa kipi ulichoandika?

Hahah unachekesha ujue???

ID nyiingi kama miguu ya jongoo lakini hazina faida......

Pole sana......

Porojo dot com kufungwa thread anayeomba ni yule aliyeanzisha na siyo wachangiaji, vipi kitufe cha report abuse haukioni? utajibeba leo.
 
Mi wala sikufurahii nakucheka kwa dharau tuuu.....

Unahangaika na furushi la ID kibaao kama mtoto....

Ungekua mtafutaji usingeacha furushi la ID nyingi likuelemee namna hiyo...

Hebu futa mipovu na mimate yako kwanza, safisha na hiyo miudenda kishachapa lapa, mimi nazungumza na wanaume wenzangu na siyo kivulana kama wewe.
 
Porojo dot com kufungwa thread anayeomba ni yule aliyeanzisha na siyo wachangiaji, vipi kitufe cha report abuse haukioni? utajibeba leo.

Umeishiwa hoja teh teh teh nijibebe na nini sasa?

Mi huniwezi utapoteza mda wako bure ndio maana kila mda unaaga...

Wimbo wa kujifunza haukeshi ngomani wala khanga ya iddi haifuliwi pasaka unajisikia aibu kuondoka hahahahaaaaa

Eti ntajibeba kwani kuchangia Lazima?? Naku enjoy tu mfungwa ulietoroka jela....
 
Hebu futa mipovu na mimate yako kwanza, safisha na hiyo miudenda kishachapa lapa, mimi nazungumza na wanaume wenzangu na siyo kivulana kama wewe.

Mbona unalamba matapishi???

Hahahah eti kivulana mbona unatokwa jasho? Muda wote huo mbona wa upoteza kwa kivulana??

Duh we mkali post ya kwanza ulivyojiunga 25/03/2014 uliianzia kwangu unaeniita kivulana hahahah

Kivulana ndo kinakuweka hapa na kinakutoa povu hahahahah.....

If A=B and B=C basi C=A upo hapooooo?

Unakunywa juice gani nikupe maana mdomo ushakauka hahahah..

Halafu mbona kwenye ignore list huniwekii hahahah
 
Nani kasema hajaenda shule? umeisoma vizuri ile post yake? kulikua na haja ya kuandika kwa ligha ile? kwa upeo wako ule mpangilio unaleta maana sahihi?

Kaandika kwa lugha ile baada ya Excel kuandika kwa kiingereza wa kuulizwa ni Spartakas au Excel? Spartakas katundika tahariri yake kwa Kiswahili akataja watu kwa mujibu wa yeye alivyopendelea aliyekuja kusema unataka niwe role of model ni nani? Na aliandika kwa lugha gani? Kwanini iwe nongwa Spartakas kujibu kwa kimombo? Well said Spartakas umeendika vyema na unaeleweka vyema kabisa detractors ndo wamekazania mambo yasiyo na msingi
 
Back
Top Bottom