Habari za jumapili humu ndani,nna shida ya jinsi ya kuelewa hiki kitu,nimejaribu kufanya test zilizopo online lakini napata score below average,na nnahitaji kuielewa kabla ya mwisho wa wiki ijayo kwa ajili ya mtihani,kama kuna anaeweza kunisaidia kwa namna yoyote ntashukuru.