Kuna Saba general/Msimbazi.
Salama bearing/Msimbazi. Millenium cars accesories/Nyamwezi. Joy spare parts/Mafia/nyamwezi. Several spare/Mafia/sikuku. Mandalia batteries/Mafia. Alpha spare/Mrgro road/libya.na mengine mengi utayaona wakati unapoenda kwenye hayo maduka niliyokutajia.
Mpya au Used?
Be forward wanauza spear used jumla na rejareja kwa bei poa kama unahitaji kuanza hio biashara nadhani watafaa. Unaagiza mzigo toka Japan.