SPEA ZA MITSUBISHI GDI io

SPEA ZA MITSUBISHI GDI io

Shilla

Member
Joined
May 7, 2008
Posts
35
Reaction score
7
Wa JF nina Mitsubishi pajero io inanisumbua sasa kupata spea zake original.Naomba msaada wenu kwa anaye fahamu pia na fundi wa haya magari,maana nakaribia kuliuza sababu ya ukosefu wa spea.
 
DT Dobie. Hawa jamaa ndio wanzijulia hizi gari. Haya magari yanasumbua sana na usipoangalia utapoteza pesa nyingi kwa mafundi wa mtaani.
 
Mkuu,
Usipate shida na spea, naomba utuletee majina ya spea unazohitaji. Sisis tutakutafutia kwa watengenezaji wa hizo spea na kisha kukuletea mpaka DSM. Tuandikie kwa e-mail binafsi: pacificamarine@yahoo.com huku ukitaja year, model na ikiwezekana part # unayohitaji nasi tutakutafutia.
Ni kazi kweli ku-maintain mitsubishi pajero.
 
Asante kwa hilo je mafundi wake wanapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom