Special edition: Spiritual n witchcraft intros

Wakuu ningependa kujua kwa wenzetu wazungu uchawi wanautumia hasa kwenye nyanja gani, tunatambua na kuona wachawi wa huku Africa kazi yao kuu ni kuharibu maendeleo,kuroga watu,kuua nk, hii inasababisha waafrica wengi kushindwa kutoboa kimaisha kuharibikiwa au kufa wasipokuwa strong kiroho hapa ni either wabobee kwa Mungu wa kweli au kwa waganga...
Huko ulaya Hali ikoje na wao Hali ni hii hii au wachawi wao hawana muda na kurogana??!
 
Walijiongeza wakajifunza zaidi, mabaya wakaachana nayo wakachukua mazuri na kuyaendeleza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chumvi imetumika kwa madhumuni ya kichawi kwa miongo mingi, hasa kwa ulinzi, utakaso na uponyaji.
Kuna aina tofauti za chumvi; zingine kwa kupikia/kunywa wakati aina zingine zimekusudiwa kwa kazi ya Kishirikina pekee.
Kazi ya uchawi inaweza kufanywa na aina yoyote ya chumvi. Ikiwa uko kwenye uhitaji unaweza kubadilisha moja kwa nyingine kwa urahisi ikiwa huna aina fulani ya chumvi mkononi.
Baadhi ya aina za chumvi zinaweza kufaa zaidi kwa madhumuni fulani ya uchawi kulingana na kile kinachoweza kuchanganywa. Chumvi ni halisi "iliyoingizwa" katika mila, mila na maisha yetu ya kila siku. Chumvi kwa madhumuni ya uchawi huja kwa kawaida kutumia kipengele hiki cha asili cha dunia.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Behemoth ni kiumbe wa KIROHO mwenye sifa ya ulafi na anakula kila kitu pasipo kukoma. Anakula watoto wakiwa tumboni, unashangaa mimba zinatoka bila ya sababu yoyote, unazaa watoto wanakufa vifo vya mapema (pre mature death) etc.
 
Behemoth ni kiumbe wa KIROHO mwenye sifa ya ulafi na anakula kila kitu pasipo kukoma. Anakula watoto wakiwa tumboni, unashangaa mimba zinatoka bila ya sababu yoyote, unazaa watoto wanakufa vifo vya mapema (pre mature death) etc.
anakula mpaka chuma just imagine
 
Kuna vitabu hivi vinaeleza kill kitu kuhusu Nguvu za Giza, uchawi,shetani n.k
Mwandishi ni dereck prince anaspeech zake nyingi you tube
Kimoja kinaelezea mapepo,mashetani.ni Nani na jinsi wanavyofanya kazi na aina zao.they shall expell demons
Lucifer exposed. Kinamuelezea baba wa wachawi na majini shetani ni Nani na anafnayaje kazi
Chamwisho ni pulling down strongholds kuziangusha ngome ..kinaelezea jinsi mashetani na wachawi wanavyoweza kumanipulate mtu afanye mambo asiyoyataka na jinsi ya kujitoa katka laqna hizo ni vizuri sana
 

Attachments

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…