Chemiker
JF-Expert Member
- Jun 19, 2013
- 506
- 108
Shirika la Elimu Tanzania(SET) c/o
Dar es salaam Institute of Mining Studies(DIMS)
1.Je, wewe ni kijana uliyemaliza Form IV/VI kuanzia mwaka 2005 na ungependa kuajiriwa ktk migodi mikubwa ya madini au ktk miradi ya Gas na Mafuta/ Petrolium?
SET c/o DIMS wanatoa kozi tajwa hapo juu ktk ngazi ya certificate kwa mwaka mmoja.
2. Je, wewe ni kijana uliyemaliza Form IV/VI na ungependa kusoma kozi za Nursing Assistant na clinical Assistant lkn huna sifa?
SET Kupitia mpango wake wa OKOA NDOTO YAKO wanawatangazia nafasi za pre-Nursing na Pre- Clinical Ass. Kwa mwaka mmoja na hatimaye upate sifa ya kusoma kozi kamili yaani Nursing Ass. Na Clinical Ass.
3.Wahitimu wa kozi husika hufaidika na ajira itolewayo moja kwa moja na serikali baada ya kufuzu kozi.
4.Nafasi ni kwa wale watakao wahi kuchukua na kurudisha form.
5. Masoma yanaanza 26/08/2013
[h=3]Maelezo zaidi: chuoni, Mnazi mmoja, Nyuma ya Jengo la ushirika, jengo la Co-Architecture Gorofa ya 5 au call[/h] 0789 036345-Arusha
0687 673967-Mwanza
0759 093134-Sumbawanga
TZ 11-Dar es salaam
Email: shirikatz@gmail.com
Kazi kwenu watanzania Wenzangu.