Special kwa wahitimu form 4/form 6 kuanzia mwaka 2005.

Chemiker

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2013
Posts
506
Reaction score
108
Shirika la Elimu Tanzania(SET) c/o
Dar es salaam Institute of Mining Studies(DIMS)


1.Je, wewe ni kijana uliyemaliza Form IV/VI kuanzia mwaka 2005 na ungependa kuajiriwa ktk migodi mikubwa ya madini au ktk miradi ya Gas na Mafuta/ Petrolium?
SET c/o DIMS wanatoa kozi tajwa hapo juu ktk ngazi ya certificate kwa mwaka mmoja.


2. Je, wewe ni kijana uliyemaliza Form IV/VI na ungependa kusoma kozi za Nursing Assistant na clinical Assistant lkn huna sifa?


SET Kupitia mpango wake wa “OKOA NDOTO YAKO” wanawatangazia nafasi za pre-Nursing na Pre- Clinical Ass. Kwa mwaka mmoja na hatimaye upate sifa ya kusoma kozi kamili yaani Nursing Ass. Na Clinical Ass.


3.Wahitimu wa kozi husika hufaidika na ajira itolewayo moja kwa moja na serikali baada ya kufuzu kozi.


4.Nafasi ni kwa wale watakao wahi kuchukua na kurudisha form.


5. Masoma yanaanza 26/08/2013
[h=3]Maelezo zaidi: chuoni, Mnazi mmoja, Nyuma ya Jengo la ushirika, jengo la Co-Architecture Gorofa ya 5 au call[/h] 0789 036345-Arusha
0687 673967-Mwanza
0759 093134-Sumbawanga
TZ 11-Dar es salaam
Email: shirikatz@gmail.com
Kazi kwenu watanzania Wenzangu.

 
Kamilisha maelezo,form zinapatikana wapi kwa gharama gani na ada bei gani kwa huo mwaka.
 
ukishasikia chuo kipo gorofa ya 5, ya 3 ya 1 au mkabala na....... Ujue hapo hakuna kitu.
 
Ni kwel mwi2 kuna ndugu yangu alienda hadi fees kalipa inafika mda wa kuanza masomo akaambiwa kuna ugomvi umetokea chuo kimefungwa duuh
 
No spoon feeding in Africa! No. za simu zipo hapo kwa nini usiwapigie?

Kamilisha maelezo,form zinapatikana wapi kwa gharama gani na ada bei gani kwa huo mwaka.
 
Mary ngusa Hilo tangazo nimeliona kwenye gazeti la Rai Mwema toleo la Jana ndio maana nikaona nipost hapa Jf ilikama kuna mtu anania ya kujiunga afanye hivyo. Mimi nina degree zangu zinanitosha, hatahivyo nashukuru kwa experince yako na chuo husika, ila ingekuwa better kama ungetupa more info kuhusu hiyo taasisi. Hata kwa PM kama pocbo.


Hakuna ki2 nawadai nyie afu c chuo kilifungwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…