Special kwa wala bata hii Skewerz

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Za jioni

Hao watu nimewainulia mikono hii location ipo muhimbili unacho fanya unalipia 20000 kama kiingilio tu af unakula mpka unasaza.

Hii special kwa wala bata yaani kama wewe unapenda nyama hapa unakula mpka meno yanauma, sijaona sehemu nyingine kama hii. Asante bwana tajiri kwa chakula cha jioni.

Anae pajua levant manzari yake yapoje?
 
Hio Skewers ndio wapi maana hilo jina limekaa kibabe sana. Simba wala nyama tupo mjengoni.
 
Hio Skewers ndio wapi maana hilo jina limekaa kibabe sana. Simba wala nyama tupo mjengoni.

Ukifika muhimbili pale kona ya kwaza kushoto kama unaenda sarenda au njia ya kuingilia takukuru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…