Sio swala ntakuja na simba wenzangu, hatuondoki hadi giza liingie 🤣Kila kichwa lazima kiache hela
Zipendi bar yenye live band, napenda DJ tu acheze ngoma za kutosha. Ndo mana pale tangu nilipokuwa siku ya ufunguzi sijakanyaga tenaUkiachana na hapo kuna kibo zone kama wewe mwaji pale bia bei chee af sasa kila siku band
Sio swala ntakuja na simba wenzangu, hatuondoki hadi giza liingie [emoji1787]
Zipendi bar yenye live band, napenda DJ tu acheze ngoma za kutosha. Ndo mana pale tangu nilipokuwa siku ya ufunguzi sijakanyaga tena