Special kwa wapenzi wa Soccer

sergio 5

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2017
Posts
9,405
Reaction score
10,637
Oi oi leo uwanja wa kine
si kutakuwa na fainal ya michuano ya ndondo cup kati ya timu zifuatazo
MISOSI VS GOMS UNITED
Hii itakuwa mechi ya kukata na shoka mm karata yangu ipo kwa MISOSI FC
Naomba na ww ndgu Yangu useme karata yako unampa nan?
 
Team misosi tupoooo...ni kutafuna tu leo

Kwa Hisani Ya Watu Wa Mbeya!
 
Mwenye link ya kustream online atuwekee hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…