Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ungetangaza na vivutio maana kwa wabongo bado hatuna imani sana kama kumetulia ukizingatia kwamba mpaka leo milipuko haijaisha kabisa, tutegemee nini huko tukiamua kwenda?
Haubanwi kiivyo kama ni sehemu ya promo wawezafanya fanya ukizingatia jumuia ndio hiyo. Tukichoshwa na utalii wa ukweli huku bongo serengeti, manyara, mikumi,ngorongoro nk, tunaweza kwenda kutalii kwa kagame kwa sifa hizo ulizozieleza wakati mwingine chakula mapishi sio kila anayekula biriani anafaidi yategemea mpishi ati! vipi weye?Totoz za kinyarwanda.......................ooops kumbe hapa si mahala pake! Am so sorry:eyeroll2::shut-mouth:
pdidy hakuna offer ya dar mombasa dar, kuna vivutio vizuri sana mombasaKwa wale wanaosafiri safari za kigali nk,Kampuni ya ndege ya
Rwandair imetoa offer ya 429USD kwenda na kurudi
offer hii ni mpaka Sept 30/2010,more info Tel 212402
Karibuni Kigali
INSOZI