Special offer: Dar-Kigali-Dar 429USD - RwandAir!!

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Kwa wale wanaosafiri safari za kigali nk,Kampuni ya ndege ya
Rwandair imetoa offer ya 429USD kwenda na kurudi
offer hii ni mpaka Sept 30/2010,more info Tel 212402
Karibuni Kigali
INSOZI
 
Ungetangaza na vivutio maana kwa wabongo bado hatuna imani sana kama kumetulia ukizingatia kwamba mpaka leo milipuko haijaisha kabisa, tutegemee nini huko tukiamua kwenda?
 
Ungetangaza na vivutio maana kwa wabongo bado hatuna imani sana kama kumetulia ukizingatia kwamba mpaka leo milipuko haijaisha kabisa, tutegemee nini huko tukiamua kwenda?

Totoz za kinyarwanda.......................ooops kumbe hapa si mahala pake! Am so sorry:eyeroll2::shut-mouth:
 
Totoz za kinyarwanda.......................ooops kumbe hapa si mahala pake! Am so sorry:eyeroll2::shut-mouth:
Haubanwi kiivyo kama ni sehemu ya promo wawezafanya fanya ukizingatia jumuia ndio hiyo. Tukichoshwa na utalii wa ukweli huku bongo serengeti, manyara, mikumi,ngorongoro nk, tunaweza kwenda kutalii kwa kagame kwa sifa hizo ulizozieleza wakati mwingine chakula mapishi sio kila anayekula biriani anafaidi yategemea mpishi ati! vipi weye?
 
Kwa wale wanaosafiri safari za kigali nk,Kampuni ya ndege ya
Rwandair imetoa offer ya 429USD kwenda na kurudi
offer hii ni mpaka Sept 30/2010,more info Tel 212402
Karibuni Kigali
INSOZI
pdidy hakuna offer ya dar mombasa dar, kuna vivutio vizuri sana mombasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…