Mkuu Funa, funakuNyuma ya mziki wa Singeli au mchiriku tunaitafuta na kuipata meseji kubwa sana ya kisiasa mwaka huu.
Yaani yupo chiriku aliyelishwa maneno na kuanza kuyaongea (kulonga) huku akijitikisa (kuyumbayumba)
Chiriku asihukumiwe bali anayeishi na chiriku atajulikana au ameshajulikana.
Kazi na utu....Tusonge mbele watanzania!
Mama mitano tena !
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
View attachment 3427572
Hii ndio mara yangu ya kwanzacc Pascal Mayalla jifunze kitu kutoka nyimbo zetu hizi
Kuna ndugu yako anaitwa pascal mayala anakuja jukwaani muda so mrefuMkuu Funa, funaku
Thanks for this
Hii ndio mara yangu ya kwanza
Kusikiliza mchiriku kwasababu tuu ya tag yako!, it's just not my type! Hivyo kusikiliza kitu ambacho sio your type for more than 10 min, is not a joke!.
Ila mimi ni musical lover na kuna nyimbo zikinigusa naposti humu mifano ni hii
P
Mkuu Funa, funaku
Thanks for this
Hii ndio mara yangu ya kwanza
Kusikiliza mchiriku kwasababu tuu ya tag yako!, it's just not my type! Hivyo kusikiliza kitu ambacho sio your type for more than 10 min, is not a joke!.
Ila mimi ni musical lover na kuna nyimbo zikinigusa naposti humu mifano ni hii
- Umechoshwa na Ujinga, Umasikini, Maradhi, Rushwa na Ufisadi?!, 25/10 "Give It, "Just One More Try!"
- Kwa Wapenzi wa Muziki: "Bado tunapanda, Tunapanda milima, Najua tutafika, Tutafika lazima!"
- Chungwa nikalimega nikidhani chenza....(Fumbo..Fumbua)
- Feel Good Kwa Kusikiliza "Old is Gold" -DJ JD, (John Dilinga Matlou), Anastahili Pongezi!.
- Muziki wa Hip Hop bongo umetokea mbali-Tujikumbushe kidogo
P