Special program of Diploma in Education UDOM mbona kimya?

Special program of Diploma in Education UDOM mbona kimya?

slmmfm

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2014
Posts
304
Reaction score
65
Waungwana vip kuhusu selection za UDOM special program ya science education mbona kimya
Nini kinaendelea tufahamishane.
 
Walisema adi uwe admited kwenye hyo program ndo uombe mkopo, xo nasubr selection ndo niombe
 
mkuu bodi ya mkopo walishatoa utaratibu mwisho tar. 10 sep 2014
 
Allow! ngoja nifanye mchakato mkuu.
 
Jamani naombeni msaada nilikuwa nafanya application ya special programme of ordinary diploma for primary education kupitia NACTE wanasema Error your Email and examination index no.already used Mwanzoni niliomba vyuo vya afya sijapapenda nimekuwa selected chuo cha private ada zao kubwa sana 2.4M nifanyeje ili niapply teachng?
 
Hawa nacte wezi sana.
wakishachukua hiyo Elfu ishirini ndo wanasema index no already used.
Tafuta private vya education au
 
ndugu hauwezi kuomba afya na education at da same time maan data base ni moja hivyo ukifika kwe form four itakwambia no imeshtumika.
mie pia tatizo hilo lilinikumba nkawasiliana nao wa nacte wakadai haiwezekani so nkawa nmepata loss ya elf 20.
 
nauliza vip deadline ya kuomba izo kozi za udom Tayar au bado maana kuna Mdogo wangu nataka kumuombea leo wadau
 
Back
Top Bottom