Special Schools ni fahari ya Tanzania shule za serikali ambazo hutufuta machozi

Urban Edmund

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2018
Posts
2,250
Reaction score
3,607
Matokeo ya mtihani baada ya kutangazwa nimejaribu kufatilia matokeo shule Kwa shule nimekuja kubaini matokeo hayajabadilika sana na miaka yote lakini zero zimejaa tu kwenye shule zetu za umma hasa mkoa wa Dar es salaam ambazo nyingi tumekuwa tukizifuatilia ambapo kati ya hizo nyingi zimekuwa zikiwa na 0 kuanzia 50
"SO SAD"

Ukweli usiokwepeka shule za vipaji maalumu (special school) zimefanya vizuri sana matokeo ya form four mwaka huu (hasa kibaha na ilboru) almost zote Zina ufaulu wa GPA 1. Japo shule chache Zina matokeo mazuri kama Ifunda Tech ila most of government school bado zinazalisha zero kama Iyunga, Tanga na Mtwara Tech zote zinashindwa kabisa kutokomeza zero licha ya watoto kuingia na alama kubwa sana kutoka shule za msingi "WALIOFAULU KWA ALAMA ZINAZOFUATIA BAADA YA ZILE ZA VIPAJI".

Tunashukuru saana Kwa kutufuta machozi shule special ahsante aliyeziboresha na kuzipa uspecial "Nyerere"

Simba ni Simba tu cc ilborians, Warsaw, Tabora Schoolers, wazumbe, kibaha Me, Mzukila, Kilakala na Msalato Dadaz

 
sikuhizi shule zinapambana ziwe na division 1 za pointt 7 tu,

 
Unajua hizo the so called special schools zimeanza lini mpaka useme Rais wa kwanza ni zao la special school?
ndio najua kwa mfano TS 1922 na Kibaha imeanzishwa 1967
 
TABORA SCHOOL
 

Attachments

  • images (13).jpeg
    31.4 KB · Views: 26
  • images (14).jpeg
    47.2 KB · Views: 28
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…