Special schools

Special schools

Shoo Gap

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2009
Posts
261
Reaction score
97
Ninapotazama hizi zilizoitwa 'special schools' ninakuwa na wasiwasi kama watunga sera wanamaanisha walichokuwa wanakiwaza. Shule hizi kwa hali ilivyo kwangu binafsi hazina u-special wowote. Kutokana na mfumo wa elimu ya Tz, haimlengi mwnfz aweze kuwa critical thinker bali mtu anayekariri tu. Ukiangalia nyendo za wanafunzi waliopelekwa kwenye hizi shule wengi wameishia kusoma kozi zilezile wale ambao hawakuwa special wanazosoma katika kiwango cha elimu ya juu. Wengine hata wameonesha uwezo wa chini kwenye elimu ya juu inayohitaji kufikirikia critically (Ingawa vyuo vya kibongo vingi havizingatii hili). Nilitegemea hawa waliopelekwa special schools siku moja watoe matunda special kwa jamii, mimi sijayaona.

USHAURI WANGU: Nilitegemea special schools zisiwe kwa ajili ya wale waliopata alama za juu, bali kwa ajili ya watoto walioonesha vipaji maalum katika fani mbalimbali. Tufike mahali tuwe na shule special kwa ajili ya wenye vipaji maaalum mfano shule ya michezo(soka, netball, riadha, uogeleaji n.k), shule ya sanaa mbalimbali(uchoraji, uimbaji, uchongaji, usukaji, n.k), shule ya electronics, shule ya ujenzi(kuchora ramani, uashi, useremala, umeme, ufundi bomba, rangi n.k), Shule ya kilimo(ukulima, ufugaji, n.k) n.k. n.k.

Baada ya muda mfupi tungelikuwa na kizazi cha wataalam waliobobea katika kila fani. Tatizo tunalokutana nalo ni kuwa na wasomi waliosoma theory kwa miaka 18(2-awali, 7-primary, 4 O-Leval, 2-A-Leval na 3/4/5 Chuo) Kisha tunataka wafanye mambo practically. Hizi ni ndoto za alinacha. Ni lazima tubadilike.
 
Haya ni mawazo constructive. Ni mawazo yanayotakiwa kufanyiwa kazi na wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi.
 
Back
Top Bottom