Special service for valentine season

Special service for valentine season

Binti Magufuli

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2011
Posts
7,479
Reaction score
5,157
TANGAZO, TANGAZO, TANGAZO

Hii nI huduma ya kipekee, itapatikana kipindi hiki cha valentine, wale wote mtakaokuwa busy kwa shopping, kazi na mengineyo mnaweza kuwaacha wanaume/wachumba/ boyfriend kwenye kituo hiki ili wapatiwe huduma zote kasoro vinywaji tu. ukimaliza ubusy utamchuku bila wasiwasi.

HUSBAND DAY CARE.jpg

Kina dada/mama karibuni
 
mi najipeleka mwenyewe; iko mitaa ipi hiyo service? usikute kuna massage na blowJ za kufa mtu humo..
 
mi najipeleka mwenyewe; iko mitaa ipi hiyo service? usikute kuna massage na blowJ za kufa mtu humo..

Ipo mitaa ya nyumbani kwa mdada mmoja hvi..., wapo wadada wengi sana unachagua wa kukucare na kukubembeleza hadi partner wako arudi
 
huu ubunifu mwingine ni wa kuingizana majaribuni tu... hawakawii kuja wajasiriamali wengine na kudai tuwaachie mademu zetu sasa
 
Naomba ajira
kuna mtu namlenga hapo aletwe.
 
Back
Top Bottom