Hii nI huduma ya kipekee, itapatikana kipindi hiki cha valentine, wale wote mtakaokuwa busy kwa shopping, kazi na mengineyo mnaweza kuwaacha wanaume/wachumba/ boyfriend kwenye kituo hiki ili wapatiwe huduma zote kasoro vinywaji tu. ukimaliza ubusy utamchuku bila wasiwasi.