Special song to Malia Obama

Special song to Malia Obama

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nilikuwa sina mpango wa kufungua hii kitu, lakini baada ya kusoma comments zako nikasema ngoja nami niifungue labda nitaongeza life span lol! Hahahahaha 😂

Naona hata ‘para’ la jela halijaota nywele bado, lol
Mungu amlaani aliyesababisha ukafungwa, vituko hivi nilivimiss sana.
Nimecheka sana alfajir hii, thanks.
 
am safaling to see you 🤣 🤣 🤣 bando langu halijaenda bure.......
Don unaachia lini albamu?,,
🤣🤣
Godfather - The Don by Independent Artist - Fine Art Print.
 
Ngoja nimtumie link Malia, huenda atasikia kilio chako!
Maana huo msuba unaopiga huenda umechanganya na mavi ya mbuzi aisee...
 
Maumivu ya kichwa huanza taratibu., Ukirudi kwenye post za siasa unaziona nondo zile pale
 
Naona hata ‘para’ la jela halijaota nywele bado, lol
Mungu amlaani aliyesababisha ukafungwa, vituko hivi nilivimiss sana.
Nimecheka sana alfajir hii, thanks.

Hahahaha
 
Sikiwahi kufikiri nitapata mshindani kwa huyu binti mrembo wa Obama.
 
Back
Top Bottom