Special Thread: AFCON 27, Tanzania, Kenya, Uganda, Maandalizi, fursa na matukio

Katika mechi ya ufunguzi Serikali iandae video maalum kama Misri ilivyofanya 2019 na mapiramid yake

Nahisi yafuatayo ndo yataonyeshwa

Mlima Mrefu Afrika :Mlima Kilimanjaro




2,Bonde la Olduvai Gorge-Binadamu wa kale Zinjathropus

View attachment 2765069
 
Jamii ya Wamasai-jamii inayoenzi utamaduni wake
 
Uwanja mpya unaoenda kujengwa kwa ajili ya Afcon Arusha
 
Picha za maendeleo ya viwanja hivi tunaomba mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…