Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Haka kanyimbo kakuingilia amazing sana
 
National anthem ya Nigeria iko short and clear!!
 
Wanadai Hakim ana kesi ya ubakaji
 
Namwoma Obosaigie yuko benchi hapo.
Kipa wa Singida Black Stars
 
Morocco wanakaba nafasi, hadi sasa wamefanikiwa
 
Morocco wameamua kucheza
 
Duh, kipa alikuwa ashaachwa balaa pale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…