Special Thread: African Cup of Nations (AFCON) 2025 - Morocco

Si waachiane sasa?
Uganda amebakisha Nigeria.
Sisi tumebakisha Tunisia wale lazima watukande vizuri tu
 
Huyu Haji Inonga hii second half, ametuonesha ni kwanini hajawahi kufikiria kuichezea timu ya taifa ya huko kwao Uingereza.

Huyu ni mchezaji wa daraja la chini sana.
Haji mnoga Hana speed na akili ya mpira
 
Huyu Haji Inonga hii second half, ametuonesha ni kwanini hajawahi kufikiria kuichezea timu ya taifa ya huko kwao Uingereza.

Huyu ni mchezaji wa daraja la chini sana.
Nilisema pale mwanzoni kabisa.
Huyu jamaa hana mpira wowote.
Nafasi zote za upande wake zilipotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…