Apewe kesi ya uhaini 😀😀Jamaa mwenye ukumbi,amekuja ameweka game ya simba na muembe makumbi eti ameanza kuchangisha, nimetoka bora nikasikilize redioni hii afcon. Siwezi kutoa pesa yangu kuiangalia simba au yanga.
Diarra anamind beki zake
Wanaleta masikharaDiarra anamind beki zake
Yani hajiulizi mara mbiliMwamuzi anagawa kadi kwa kwenda mbele