Special Thread: Batle la picha miaka ya 90 na sasa

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Salaam wakuu,

Nimeleta uzi huu uwe maalumu kwa ajili ya kujikumbushia kwa picha hali ya mambo mbalimbali yalivyokuwa miaka ya 90 na yalivyobadilika kwa sasa.






Wale wazee wenzangu tutiririke watoto wajue tulikotoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…