tutafikatu
JF-Expert Member
- Dec 17, 2011
- 3,327
- 4,624
Wakuu hapa tuwe tunapeana bei za madafu za kila siku kwa kutumia bei zilizotundikwa kwenye bureau de change mbalimbali hapa Tanzania.
Imebidi nianzishe uzi huu baada ya kushindwa kujua gharama za madafu kutokana na sehemu niliyoko sasa.
Karibuni.
Imebidi nianzishe uzi huu baada ya kushindwa kujua gharama za madafu kutokana na sehemu niliyoko sasa.
Karibuni.