tutafikatu JF-Expert Member Joined Dec 17, 2011 Posts 3,327 Reaction score 4,624 Sep 23, 2017 #1 Wakuu hapa tuwe tunapeana bei za madafu za kila siku kwa kutumia bei zilizotundikwa kwenye bureau de change mbalimbali hapa Tanzania. Imebidi nianzishe uzi huu baada ya kushindwa kujua gharama za madafu kutokana na sehemu niliyoko sasa. Karibuni.
Wakuu hapa tuwe tunapeana bei za madafu za kila siku kwa kutumia bei zilizotundikwa kwenye bureau de change mbalimbali hapa Tanzania. Imebidi nianzishe uzi huu baada ya kushindwa kujua gharama za madafu kutokana na sehemu niliyoko sasa. Karibuni.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 52,812 Reaction score 71,392 Sep 26, 2017 #3 Gods very own said: google Click to expand... Simple tu
Nimkimbilie nani JF-Expert Member Joined Nov 23, 2016 Posts 5,996 Reaction score 6,290 Sep 26, 2017 #4 Uzi ulikuwa muhimu sana ila watu wameupotezea
kibao cha mbuzi JF-Expert Member Joined Jan 24, 2017 Posts 507 Reaction score 491 Sep 26, 2017 #5 Biashara hii shurti uwe na pesa! Kamali