SPECIAL THREAD:- Cheka na BUJI-BUJI

Sawa mwenyekiti wa CHAPUTA
Hivyo nini maoni yako juu ya hili..?
Je,wanachama wako watumie nini ili shahawa zisiwe na corona virus..?
Wajifukize..... Kujifukiza ni anti biotics, inatibu hata kama wewe ni darasa la Saba na unataka kazi ya ukurugenzi bandari...basi jifukizeni tu kila kitu kitakaaa sawa
 
Labda niwe nimesahau... Sidhani kama nimewahi chekeshwa na comment yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…