Vien
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 6,585
- 10,363
Karibu katika speacial thread ya Copa America 2024 inayoendelea kule USA,
Tutakua tunaendelea kupeana updates hapa kwa yanayoendelea
Mpaka sasa ni Team tatu pekee zimeonyesha kiwango cha juu sana katika mashindano haya
Argentina
Uruguay
Colombia
Brazil ameanza haya mashindano vibaya kwa kulazimishwa sare ya Costarica, mechi iliyocheza leo 04:00AM kwa saa za Africa mashariki,