Kwa hivyo bado hamjafanya land compensation ilhali mlikuwa mnanidanganya kwamba ujenzi wa mradi utaanza wiki hii? Wajinga sana nyie. Kama land compensation itafanyika mwishoni mwa mwaka huu basi ujenzi utaanza mwaka ujao. Wacheni kimbelembele kwa mambo ambayo hamuyaelewi.
we jamaa huna akili, nani amekwambia construction inaanza wiki hii, hata contractor wa EACOP bado, na hata contract ikiwa awarded, still Engineering and Procurement have to start. Thats why we call it EPSCC Contract ie Engineering, Procurement, Supply, Construction and commissioning. Kama hujui hii ndustry inavyofanya kazi bora uulize. EPSCC contract inaweza kuwa awarded hata kabla ya compensation, at the same time EP inaweza fanyika kabla hata hiyo compensation pia.Kwa hivyo bado hamjafanya land compensation ilhali mlikuwa mnanidanganya kwamba ujenzi wa mradi utaanza wiki hii? Wajinga sana nyie. Kama land compensation itafanyika mwishoni mwa mwaka huu basi ujenzi utaanza mwaka ujao. Wacheni kimbelembele kwa mambo ambayo hamuyaelewi.
Wewe ndio ulisema kwamba makuu yalikuwa yafanyike wiki hii. Makuu hayo yako wapi?we jamaa huna akili, nani amekwambia construction inaanza wiki hii, hata contractor wa EACOP bado, na hata contract ikiwa awarded, still Engineering and Procurement have to start. Thats why we call it EPSCC Contract ie Engineering, Procurement, Supply, Construction and commissioning. Kama hujui hii ndustry inavyofanya kazi bora uulize. EPSCC contract inaweza kuwa awarded hata kabla ya compensation, at the same time EP inaweza fanyika kabla hata hiyo compensation pia.
sasa ndio nilikwambia construction?Wewe ndio ulisema kwamba makuu yalikuwa yafanyike wiki hii. Makuu hayo yako wapi?
Hukuwa very clear. Ndio maana nakuuliza ni makuu gani uliyomaanisha? Maana wiki inaisha bila jambo lolote kuu kufanyika.sasa ndio nilikwambia construction?
Govt sends energy bill on urgent note
THE National Assembly has received a miscellaneous amendment bill relating to energy sector business which has been set for debate this week.www.ippmedia.com
Unaongea ni kama ujenzi wenyewe umeshaanza. The only reason mbona ujenzi haujaanza ni kuwa bado mnajikokota kupitisha sheria hiyo.
Unaongea ni kama ujenzi wenyewe umeshaanza. The only reason mbona ujenzi haujaanza ni kuwa bado mnajikokota kupitisha sheria hiyo.
Wacha tutaona. Time will tell. Mimi nasema ujenzi utaanza baada ya sheria hiyo kupitishwa. Wazungu sio wajinga. Ila sheria yenyewe itapitishwa haraka maana naona mumeifanya kuwa emergency bill. By mwisho wa mwezi wa Julai sheria hiyo itakuwa imeshapitishwa. Baada ya rais kutia saini bill hiyo, wiki ifuatayo utaona Total wakimwaga tender za EACOP kama mvua.It's allowed to bend the law. Construction will soon commence whether the law is ready or not. In EACOP, this particular piece of legislation has never been a stumbling block for the facility development.
Wacha tutaona. Time will tell. Mimi nasema ujenzi utaanza baada ya sheria hiyo kupitishwa. Wazungu sio wajinga. Ila sheria yenyewe itapitishwa haraka maana naona mumeifanya kuwa emergency bill. By mwisho wa mwezi wa Julai sheria hiyo itakuwa imeshapitishwa. Baada ya rais kutia saini bill hiyo, wiki ifuatayo utaona Total wakimwaga tender za EACOP kama mvua.