ODILI SAMALU
JF-Expert Member
- Dec 13, 2013
- 1,369
- 489
Nimeona niamue kuweka thread maalumu kwa watu waliosoma sheria(law) certificate,diploma ,degree(LL,B),MASTERS(LL,M) NA PhD (LL,D) nia na madhumuni ni kujadili masuala mbalimbali ya hii taluma ya sheria(law) changamoto na mafanikio pia karibuni wanasheria wenzangu ahsanteni.