SPECIAL THREAD: Heri Ya Sikukuu ya Christmas 2024 Na Mwaka Mpya 2025.

SPECIAL THREAD: Heri Ya Sikukuu ya Christmas 2024 Na Mwaka Mpya 2025.

Dialogist

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2014
Posts
1,167
Reaction score
1,872
Welcome On board...

Nawatakia wadau wote wa JamiiForum, wakiwemo members na non members na Uongozi mzima Wa JF, ukiongozwa na Director Maxence Melo, heri ya sikukuu ya Christmas 2024 na mwaka mpya 2025. Bwana Yesu amezaliwa kwa ajili yetu, basi tuende tukahubiri upendo na amani, kwetu na kwa mataifa yote kama alivyotuamuru. Tuadhimishe kumbukumbu hii ya kuzaliwa kwake tukiwa pamoja kwa umoja, amani na furaha.

Tumuombe Mungu atujalie heri kwa mwaka mpya wa 2025. Ukawe wenye baraka tele na amani ya nafsi na maendeleo kwa kila mmoja wetu. Ni mwaka wa uchaguzi hivyo tuombe sana mshikamano na umoja kama watanzania.

MUNGU ATUBARIKI SOTE.

NB: Tuambie matukio yote yanayotokea hapo ulipo katika kipindi hiki cha sikukuu!
 
Back
Top Bottom