Me too
JF-Expert Member
- Feb 9, 2015
- 7,388
- 9,333
heshima kwenu wakuu!
kama ifahamikavo kila mkoa / jiji lazima kuwe na vituo vya daladala kwaajili ya usafiri. Lengo la uzi huu ni kupeana mwanga kwa wale wageni na wasio jua wapi pa kupandia daladala na ni daladala ipi unapaswa upande uendako.
Hivi karibuni jiji la Dodoma kumekuwa na kuhamahama kwa vituo vya daladala imepelekea wageni kushindwa kujua wapi pakupandia na pakushukia hivo UZI huu uwe maalumu kwaajili ya kupeana update zavituo vipya na utaratibu wa upandaji daladala hizo.
Wale mliozoea JAMATINI hivi sasa haipo daladala zote zipo SABASABA ndani
Na wale mliozoea pembezoni mwa stend ya mkoa ya zamani hivi sasa haipo ipo SABASABA nje kidogo.
Pia wale mlio zoea STENDI KUU YA MABASI pale keepleft hivi sasa haipo ipo NANENANE ndani.
Hivo kama utatokea NKUHUNGU unataka upande mabasi ya mkoani nilazima upande za NKUHUNGU ushukie SABASABA tembea kidogo utoke nje ya sabasaba utakutana na daladala za NANENANE ukipanda zitakufikisha mpaka ndani kisha waweza chagua basi utakalo safiria mkoani.
Rangi za daladala ni ka.a ifuatavyo pia mwaweza kuongezea ambazo nitakuwa nimezisahau.
NKUHUNGU - kijani kibichi na chocholate
MIPANGO- njano chocolate
CHANG"OMBE - blue na chocolate
SWASWA - kijani mkoleo na chocolate. n.k
Mnakaribishwa kuongezea mengine ili kuwarahisishia watu. wasipotee hii ni kwasababu kumekuwa na kuhamahama sana kwa vituo..
karibuni.