ITM Tanzania Ltd
Member
- Feb 1, 2021
- 82
- 21
- Thread starter
-
- #101
mshahara mara baada ya kukupatia kazi after kukamilisha Interview na wao ?! Maana mimi ninavyo ona hawa ni kama madalali wa kazi tuu.Hawa jamaa nimefanya nao interview recently, sio wabaya..sema watu wanaofanyia watu usaili ndio inabidi waimprove..sio MATAPELI kwa kweli.wana office zao nzuri tu pale tanzanite tower.