Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 5,487
- 4,817
Muhimu sana wakuu.
Tanzania yetu, ya viwanda inahitaji maendeleo na uwekezaji wa kudumu katika kilimo na biashara.
Kilimo cha miti, ni kilimo kikubwa na kina faida sana kwa nchi yetu, kutokana na maelezo ya wakala wa serikali wa huduma za misitu pia asali ni mojawapo ya zao linalotegemea misitu bila kusahau, mazao mengine kadhaa yatokanayo na misitu. Hivyo nimekuwa ama watanzania wengi wanavutika na uwekezaji wa kilimo hiki, ikizingatiwa pia miti ama misitu inasaidia katika uhifadhi wa mazingira na kupunguza ongezeko la joto duniani litokanalo na hewa ya kaboni.
Napenda wale wataalamu wa miti, waje hapa watuelezee kwa upana zaidi juu ya masuala haya ya miti na misitu.
Kuanzia,
Aina za miti,
Udongo unaofaa,
Utunzaji wake,
Mazao yake,
Changamoto pamoja na faida zake? Bila kusahau ushindani kutoka bidhaa zingine kama zile za chuma na metali. Na mengine mengi juu ya kilimo hiki.
Karibuni sana, wakulima, maafisa misitu na wadau wengine wote.
By..
[HASHTAG]#woodscientist[/HASHTAG]