Takribani mwezi sasa umepita Nguli sijakuona iwa unachangamsha jukwaa pia hata meza kwa kujivinjari na Nguli kubwa vp mzee mabox yamekuelemea?
Masa jana kasema amekuacha Zenji umenogewa na pweza zenji? Maana wengi wakipata totoz za zenji husahau kabisa Bara.
Nguli upo wapi sema kama mabox yamekuelemea? Vivyo Nguli nakukumbusha tarehe 13 February sio mbali sana kutoka leo niagize angalau Kanzu niipokee kwenye Sea Star II.
Uthibitisho wako kama upo jukwaani kama guest gonga tu senks ili tujue umenogewa huko aliko kuacha Masa.
yupo kwenye sredi ya MICHANO.....!Nguli amejificha ufukweni anakula miraha.
Hahaha kumbe anaumiza kichwa kwa mashairi
Takribani mwezi sasa umepita Nguli sijakuona iwa unachangamsha jukwaa pia hata meza kwa kujivinjari na Nguli kubwa vp mzee mabox yamekuelemea?
Masa jana kasema amekuacha Zenji umenogewa na pweza zenji? Maana wengi wakipata totoz za zenji husahau kabisa Bara.
Nguli upo wapi sema kama mabox yamekuelemea? Vivyo Nguli nakukumbusha tarehe 13 February sio mbali sana kutoka leo niagize angalau Kanzu niipokee kwenye Sea Star II.
Uthibitisho wako kama upo jukwaani kama guest gonga tu senks ili tujue umenogewa huko aliko kuacha Masa.
Ha ha ha! mazee nashukuru kwa kunikumbuka nipo. Ni kweli niko vacation na sio kwamba naingia kama guest la hasha nikubanwa na mrs Nguli. Na little Nguli na kuna albam tunafanya na Kloroquin itatoka muda sio mrefu. Producer wetu ni Radical.

at laaaaaaaaaaaaaaaaast nguli amejitokeza,lolzHa ha ha! mazee nashukuru kwa kunikumbuka nipo. Ni kweli niko vacation na sio kwamba naingia kama guest la hasha nikubanwa na mrs Nguli. Na little Nguli na kuna albam tunafanya na Kloroquin itatoka muda sio mrefu. Producer wetu ni Radical.
at laaaaaaaaaaaaaaaaast nguli amejitokeza,lolz
geoff@jamiiforums.comMaxshimba anakutafuta umsaidie ramani ya kanisa lake anajenga Ubungo karibu na Tanesco tumsaidie mwenzetu neno la Mungu liendelee.
aaaaah!!! This thread is soooo touching!!!!!! I like it!!!!
Maxshimba anakutafuta umsaidie ramani ya kanisa lake anajenga Ubungo karibu na Tanesco tumsaidie mwenzetu neno la Mungu liendelee.