Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Wakuu,
Wakati tunaeleka kwenye Uchaguzi Mkuu ambao tutachagua Madiwani, Wabunge pamoja na Rais mengi hutokea kabla ya kuwapata viongozi hao.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Hivyo basi uzi huu utakuwa maalumu kwaajili ya kurekodi rafu zinazotokea kipindi hiki chote na kukuwezesha kuyafikia kwa urahisi na hivyo kukusaidia kufanya maamuzi muda wa uchaguzi ukapofika.
Pia soma: Special Thread: Matukio ya Rafu za Uchaguzi na Malalamiko kwenye Zoezi zima Uchaguzi Serikali za Mitaa
===
Dosari uchaguzi wa CHADEMA
Dosari za jumla
January

- Wajumbe Mkutano Mkuu CCM wapitisha Rais Samia, Dkt. Mwinyi kugombea Urais 2025
- Pre GE2025 - Rais Samia aligoma alipoambiwa atoke ili wajumbe wapige kura na kumpitisha. Hii ina maanisha CCM wengi hawamtaki?
- Diwani Maganga: Bora nikose Udiwani kuliko Silaa kukosa Ubunge!
- CCM Rufiji kumpitisha Mchengerwa mgombea pekee
- Pre GE2025 - Mwenyekiti NCCR Mageuzi: Doto Biteko apite bila kupingwa nafasi ya ubunge ndani ya CCM, kwenye udiwani tutapambana
- Pre GE2025 - Mbunge wa Hai asema Wananchi wanasema Rais Samia apitishwe bila kupingwa kama walivyofanya CCM Dodoma
- Pre GE2025 - Esta Midimu Mbunge wa viti maalumu: Waziri Mkuu nakutuma kwa Mh. Rais ikimpendeza Jina la Mbunge Njalu Silanga lipite bila kupingwa
- Pre GE2025 - Mvutano CCM Rufiji: Viongozi wadai kusimamishwa kwa kutomuunga mkono Mbunge Mchengerwa
- Pre GE2025 - ARU - CCM Arusha yapinga Madiwani kumpigia Debe Makonda, yatoa Onyo kali
- Pre GE2025 - Kumekucha: Madiwani Arusha waomba Paul Makonda agombee Ubunge jimbo la Arusha Mjini