Special thread: Missing someone with special memories in your life

Arafa mabatini mwanza.ni miaka mingi saaaaana.but am still remmember u.ni mimi ulipenda kuniita j.nakukumbuka sana sana.ulihamia dar miaka ya 90 temeke.sijawahi kukutia machoni toka miaka hiyo.
 
Baby im back and ..I miss you too
Yours faithfully
J.
😁😁
 
Hatukugombana, tuliwasiliana tu vizuri then few hrs later akawa harespond nikjua labda atakua busy, next day passed hakupatikana mpaka na leo, I do not know what happened to him
Sorry,ina maana katika mazungumzo yenu haukuwahi kumuuliza mazingira anayoishi au sehemu yake ya kazi?
 
Sorry,ina maana katika mazungumzo yenu haukuwahi kumuuliza mazingira anayoishi au sehemu yake ya kazi?
Yupo nje ya Tanzania na kampuni aliyokua anafanya nayo kazi kwa wakati huo ilipunguza rasilimali watu kwa sababu ya Korona, kwa hiyo sina namna nyingine ya kutrace uwepo wake
 
Wanasema some stories end without goodbyes,
Personally nmekua nasubir text ya mtu kwa miaka 5[emoji1] najua harudi ila ndo hivyo, but u never know mshkaj atarud siku
 
Aiseee....some stories end without goodbye
Nitarudi kusimulia kisa changu 😭😭
 
Wanasema some stories end without goodbyes,
Personally nmekua nasubir text ya mtu kwa miaka 5[emoji1] najua harudi ila ndo hivyo, but u never know mshkaj atarud siku
5 good years hujakata tamaa?
 
Pole yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…