Special thread: Missing someone with special memories in your life

Mimi bad enough sijawahi kutana na beautiful women humu sijui watu huwa wanapataga wapi bahati hizo. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mimi bad enough sijawahi kutana na beautiful women humu sijui watu huwa wanapataga wapi bahati hizo. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Usipokutana nao humu utakutana nao nje ya JF, there is no formular
 
Nikazeje tena my!!

Umepotea humu vipi umeajiriwa nn?.

Co-et graduate [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] bhana mie ni Joblengaa tyuuh.
Sema nakumbizana na muda tyuuh.
 
Hatukugombana, tuliwasiliana tu vizuri then few hrs later akawa harespond nikjua labda atakua busy, next day passed hakupatikana mpaka na leo, I do not know what happened to him
Pole sana huwenda anaweza asiwepo tena kwenye universe hii.
 
Hatareee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…