Special Thread: Operation Ondoa U-teams!

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2012
Posts
12,320
Reaction score
11,327
Hatutaki teams....team kiba sjui team diamond, team zari, team esma, team sandra, team mobeto, team wema,..team jokate,, shiwalandu sjui what what...hatutaki,, hatutaki uswahili,tufanye kazi na tuwe kitu kimoja, mmeona ya Johanesburg?!

#stop_these_teams
#hatutaki_teams
#tunataka_tuzo

Wenye nia njema wote na mziki wetu ufike mahali pazuri musambaze hizo hashtags, espcially huko instagram naona kumeshaanza kuchafuka.
 
Watu wanafaidika na izi team so szani kama zitaisha labda wahusika wenyewe wawe responsible kuzirestisha in pisi
 
Watu wanafaidika na izi team so szani kama zitaisha labda wahusika wenyewe wawe responsible kuzirestisha in pisi
Si ndo hao akina shiwalandau sjui nini nini hao akina dulla square na wehu wenzie ..kwanini mtu usifanye kazi kihalali, yani wewe flani na flani wakiwa na uhasama unapata hela..hio hata Mungu haikubali ni laana tu
 
Haya matimu ya kugawana wanawake hayasadii lolote kwa watanzania. Na sishabikii tena huu mziki mpaka waache ujinga.
 
Tulieni kwanza mtv ema zipite sasa ivi ngoja tuendelee kuvote kwa wiz kid baada ya november 6 tutavunja team zote
 
Hujui faida za team wewe..... Team zinaongeza followers na hivyo kuingiza pesa kupitia matangazo kwenye page zetu.

HATUACHI
 
Hautaki team wewe kama nani?? Team Mond baada ya kushindwa ndo mnakuja na style hiii?? Mlidhani ni nyie tu mna watu??
Zima mic nizime tuzo!!
Mimi mtanzania napenda wanamuziki wote na napenda muziki wetu ufike mbali sana, kwani we nani
 
Mimi mtanzania napenda wanamuziki wote na napenda muziki wetu ufike mbali sana, kwani we nani
Ganda la muwa la jana ..... timu haziwezi kufa eti sababu ya walioanzisha zimewacost... Anyway kama mtanzania mpenda muziki wasanii wazuri sio hao wanaobebwa na media any way team Mond imewauma saana
 
Mimi team [HASHTAG]#MbaoFC[/HASHTAG]
 
Ndo maana tunapigwa kwenye tuzo...

Endeleeni wakuu
 
Kuna watu ni vichwa maji sana,KUKOSA AU KUPATA TUZO ZA KIMATAIFA HAKUATHIRIWI NA UTIMU,NA INGEKUWA HIVO BASI DIAMOND HASINGEJAZA KABATI,SIKU HAZIFANANI KUKOSA NA KUPATA NI SEHEMU YA USHINDANI,KWANI NI MARA NGAPI WIZKID ANAKOSA ........AU NA YEYE KWAO KUNA TIMU .......KWANI WALIOKOSA NI WATANZANIA TU ..........MBONA KUNA HIZI HAPA WAMEZIPATA.
 
Hakuna cha timu wote walioshinda tuzo wamestahili,yani kabisa kuna watu walitegemea Rayvan anaweza kumshinda Tekno au Vanesa amshinde Yemi Alade.Cha msingi wasanii waendelee kutoa kazi nzuri na kutafuta fanbase nje ya East Africa
 
Kweli umenena. Asiyekubali kushindwa si mshindani na wiz alvyoshinda kaishukuru team wizkid so team kila m2 anayo. Mwaka huu ilkua zamu ya wizkid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…